St. Francis Manor & Seeland Park
Skip to Content

Swahili

St. Francis Manor, Inc. ametimiza mahitaji ya sheria za serikali kuu na hana ubaguzi wa kikabila, rangi, asili, umri, ilemavu ama jinsia. St. Francis Manor, Inc. habagui watu au kuwatumikia kwa njia tofauti kwa misingi ya kabila, rangi, asili, umri, ulemavu, ama jinsia.

            St. Francis Manor, Inc.:

            • Anatoa huduma za bure kwa walemavu kuwawezesha kuwasiliana nasi vizuri, kama vile:                      ○ Wafasiri wa lugha

            ○ Taarifa zilizoandikwa katika mitindo mbalimbali (maandishi makubwa, sauti, mitindo ya kielektroniki, mitindo mingineyo)

            • Anatoa huduma za bure za lugha kwa watu ambao lugha yao ya asili si Kiingereza, kama vile:              

○ Wafasiri lugha waliohitimu

                        ○ Taarifa zilizowasilishwa kwa lugha nyingine

            Ikiwa unahitaji huduma za aina hii, wasiliana na Morgan Hawkins or Tiffany Criswell

Ikiwa unaamini kwamba St. Francis Manor, Inc. amekosa kutoa huduma hizi ama amebagua kwa njia nyingine katika misingi ya kabila, rangi, asili, umri, ulemavu, ama jinsia, unaweza kutuma malalamishi kwa: Morgan Hawkins, Compliance Officer or Tiffany Criswell, Quality Coordinator, 2021 4th Avenue Grinnell, IA 50112, 641-236-7592, Fax: 641-269-5497, mhawkins@stfrancismanor.com, tcriswell@stfrancismanor.com. Unaweza kuweka malalamishi binafsi au kupitia barua, faksi, ama barua pepe. Iwapo unahitaji usaidizi kuweka malalamishi, Morgan Hawkins, Compliance Officer or Tiffany Criswell, Quality Coordinator anaweza kukusaidia.

 

SWAHILI

Pia, unaweza kuweka malalamishi ya haki za kibinadamu katika U.S. Department of Health and Human Services (Idara ya Huduma za Afya na Jamii ya U.S.), Office for Civil Rights, (Ofisi ya Haki za Umma), kwa njia ya kielektroniki kupitia kwa Office for Civil Rights Complaint Portal, ipatikanayo katika https://ocrportal.hhs.gov/ocr/portal/lobby.jsf, ama kupitia barua ama simu katika:

U.S. Department of Health and Human Services

200 Independence Avenue, SW

Room 509F, HHH Building

Washington, D.C. 20201  

1-800-868-1019, 800-537-7697 (TDD)

Fomu za malalamishi zinapatikana katika: http://www.hhs.gov/ocr/office/file/index.html.

 

St. Francis Manor, Inc. ametimiza mahitaji ya sheria za serikali kuu na hana ubaguzi wa kikabila, rangi, asili, umri, ilemavu ama jinsia.

 

KUMBUKA: Ikiwa unazungumza Kiswahili, unaweza kupata, huduma za lugha, bila malipo.  Piga simu 1-877-696-6775.

Notice of Privacy Practices

|

Unsubscribe from Fundraising Correspondence

|

© 2024 St. Francis Manor & Seeland Park. All rights reserved.